Vision and Mission
Dira
Kuwa na taifa lililohabarishwa vizuri, linathamini utamaduni wake na linakuwa mahiri katika michezo ifikapo mwaka 2025.
Dhamira
Kuendeleza utambulisho wa taifa kwa kuwezesha upatikanaji mzuri wa habari, kuwawezesha vijana kiuchumi, kukuza utamaduni na michezo kwa umma kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.