Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo

Maombi ya Ukumbi wa Mikutano

Ukumbi wa mikutano na waandishi wa habari unapatikana kwa gharama zifuatazo;-

Kwa muda wa saa moja ni shilingi 60,000/=

Kwa siku nzima ni shilingi. 120,000/=