Usajili wa Magazeti

Usajili wa Magazeti

Kuomba leseni ya usajili kwa ajili ya Magazeti/Majarida.

Maombi yanapaswa kuambatanishwa na nyaraka zifuatazo;

• Cheti cha Usajili wa Kampuni au aina yoyote ya usajili wa kisheria

• Barua kutoka Afisa Mtendaji Mkuu

• Andiko la Mradi

• Wasifu binafsi (CV) wa Mhariri na Mwandishi wa Habari na nakala za cheti vyeti vyao vya kitaaluma

• Picha ya muonekano wa Jarida/gazeti (Dummy)

Ada ya Usajili ni Shilingi 1,000,000/=