News

Wizara, Machifu Wajadili Sera ya Utamaduni

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Machifu na Viongozi wa Kimila ni kiungo muhimu kwa Serikali katika kudumisha amani, na maendeleo ya taifa.... Read More

Posted On: Oct 13, 2021

Viziwi Wana Vipaji: ni Warembo, Watanashati na Wanaakili

Tumekuja kushuhudia vipaji ambavyo viziwi wanavyo, ni warembo, watanashati na wanaakili.... Read More

Posted On: Oct 13, 2021

Wasanii Kizazi Kipya Kupamba Miss and Mr Deaf Africa 2021, Washiriki Nchi 13 Wapagawa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Mkichezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania wanatarajia kupamba mashindano ya Urembo na Mitindo kwa Viziwi Barani Afrika.... Read More

Posted On: Oct 13, 2021

Tanzania Mwenyeji wa Mshindano ya Urembo, Utanashati na Mitindo kwa Viziwi Afrika

Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya Urembo, Utanashati na Mitindo kwa Watu Wenye Usikivu Hafifu (Viziwi) Bara la Afrika yatakayofanyika Oktoba 01, 2021 katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.... Read More

Posted On: Sep 27, 2021

Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yasaini mkataba jengo la ghorofa sita

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Wizara hiyo awamu ya pili lenye ghorofa sita litakalojengwa eneo la Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.... Read More

Posted On: Sep 22, 2021

Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Michezo la Wanawake la Tanzanite

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam... Read More

Posted On: Sep 16, 2021