Kusajili Gazeti?

Maombi ya Leseni ya usajili wa Gazeti/Jarida. Maombi yanapaswa kuambatana na vielelezo vifuatavyo;-

  • Cheti cha Usajili wa nyaraka yoyote ya kisheria.
  • Barua kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu.
  • Andiko la Mradi.
  • Wasifu Binafsi wa Mhariri, waandishi na nakala ya vyeti vya taaluma ya habari
  • Nakala ya mwonekano (mpangilio) wa gazeti/jarida.
  • ADA: Mwombaji anatakiwa kulipa kiasi cha shilingi 1,000,000/=. kwa ajili ya kupata leseni.