TAMASHA LA UTAMADUNI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - JAMAFEST

TAMASHA LA UTAMADUNI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - JAMAFEST

Mahali

Dar es Salaam

Tarehe

2019-09-21 - 2019-09-28

Muda

12:00 asubuhi - 12:00 jioni

Madhumuni

Kutangaza Utalii wa Kiutamaduni

Event Contents

Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka huu litafanyika nchini Tanzania jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe Septemba 21- 28.

Wajarisiamali wote wakazi za Sanaa mnakaribishwa kushiriki pia mnaweza kujisajili kupitia link hii ........


Kwa taarifa zaidi kuhusu tamasha hili tembelea akaunti za mitandao ya kijamii instagram-jamafesttz, twitter-jamafesttanza1, facebook - jamafesttz

Washiriki

Wajasiriamali wa kazi za Sanaa,Wachezaji ngoma za asili

Ada ya Tukio

Kwa wajasiriamali taarifa zaidi zinapatikana katika link ya usajili https://t.co/FArC6hYA9f?ss=true

Simu

0767 073 565

Barua pepe

joyce.fissoo.habari.go.tz au jamafesttz.2019@gmail.com