Matangazo

Imewekwa: Nov 13, 2018

Tangazo la Chuo cha Michezo Malya

Uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kilichopo wilayani Kwimba mkoani Mwanza unawatangazia wananchi wote wenye sifa stahiki kutuma maombi ya kujiunga na chuo hicho kwa ngazi ya stashahada katika mwaka wa masomo 2018/2019.Read more