Matangazo

Imewekwa: Nov 21, 2019

GHARAMA ZA KUKODI UWANJA WA TAIFA NA UWANJA WA UHURU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

GHARAMA ZA HUDUMA ZA UWANJA WA TAIFA NA UHURU

S/N HUDUMA GHARAMA

1. Kukodisha Uwanja wa Taifa Tshs. 20,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

2. Kukodisha Uwanja wa Uhuru Tsh.15,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

3. Mchezo wa Riadha (Athletics Events) Ths. 3,000,000/=

4. Mazoezi ya Timu (Football Training per session) Taifa Tshs. 300,000/=

5. Mazoezi ya timu Uwanja wa Uhuru (Football Training per session) Ths. 200,000/=

6. Matamasha na Maonesho (Exhibitions in open areas Parking area) Taifa Ths. 5,000,000/=

7. Sports Bonanza (not in the pitch) Taifa 3,000.000/=

8. Sports Bonanza Uwanja wa Uhuru Ths. 2,000.000/=

9. Ziara za mafunzo,(vikundi/grouos). Mtoto/mwanafunzi /mtu mzima. N.B Gharama hizo zitahusisha ziara kwa viwanja vyote viwili (uhuru na Taifa). Tsh.500/=

Ths.1,000/=

10. Sherehe za Kijamii katika kumbi

(a) VIP Parking (Harusi, Sendoff. N.k.)

(b) Ukumbi Mkubwa Ground Floor

(c)Banquet Hall VIP

(d) Maeneo mengine ya wazi Ths. 1,000.000/=

Ths. 700,000/=

Tsh. 1,400.000/=

Ths. 1,000.000/=

11. Upigaji picha za mnato na video (harui, Mikanda ya nyimbo n.k) Ths.200,000/=

12. Maegesho ya magari,

VIP Parking nyakati za mchezo

Matamasha na makongamano Ths. 5,000/=

Ths. 2,000/=

13. Semina, Warsha, Makongamano na Mikutano;

(a) Ukumbi Mkubwa Groung Floor – watu 200

(b) Kumbi ndogo Tsh. 1,000.000/=

Tsh.200,000/=

Angalizo

1.Gharama za huduma kuanzia namba 1 hadi 13 katika jedwali hapo juu zinahusisha gharama za usafi na ulinzi, pamoja na maandalizi ya Uwanja. (Kiambatanisho No.1)

2.Michezo yote ya kirafiki ya mpira wa miguu itatozwa gharama za awali kiasi cha Tshs. Milioni Tano (5,000,000/=). Iwapo mapato ya Serikali katika mchezo husika yatazidi kiasi tajwa hapo juu yatawasilishwa Wizarani na iwapo mapato yatakuwa chini ama sawa na kiasi tajwa hakutakuwa na madai ya ziada.

3.Michezo yote ya ligi kuu na ile ya CAF na FIFA itaendelea na utaratibu wa kawaida kwa mujibu wa makubalianio kati Serikali na TFF.

4.Gharama za huduma zinaweza kubadilika kulingana na aina ya tukio na ukubwa wake.