Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilianzishwa kwa Tangazo la Serikali Namba 1 la Januari, 2016. Katika kutekeleza majukumu yake kikamilifu, Wizara kimuundo imegawanyika katika maeneo makuu mawili ambayo ni :
i. Usimamizi na utekelezaji wa masuala ya kisekta
ii. Uendeshaji, uratibu na usimamizi
USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA KISEKTA
Eneo hili linatekelezwa na Idara ya Habari,Idara ya Maendeleo ya Utamaduni,Idara ya Maendeleo ya Sanaa na Idara ya Maendeleo ya Michezo kwa ushirikiano na Taasisi zilizopo chini ya Idara hi... ....Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi Jumapili, Februari... ... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassa... ... Read More
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesisitiza somo la Histori... ... Read More