Mawasiliano Serikalini

1. Kuratibu masuala yote ya Mawasiliano ndani ya Wizara.

2. Kuandaa machapisho, vipindi katika vyombo vya habari pamoja na maonyesho mbalimbali ya Wizara.

3. Kuandaa na kutekeleza Mkakati wa Mawasiliano wa Wizara.

4. Kuwa Msemaji Mkuu wa Wizara katika mambo yanayoihusu Wizara