Uhasibu na Fedha

Majukumu ya kitengo hiki ni pamoja na;

· Kuandaa na kulipa mishahara kwa wakati

· Kuandaa na kuwasilisha nyaraka za malipo Hazina

· Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Mapato na Matumizi Hazina

· Kuandaa na kuhifadhi kumbukumbu za nyaraka za Malipo

· Kutekeleza malipo kwa Mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu za matumizi ya fedha za Serikali

· Kuandaa na kuratibu majibu ya hoja mbalimbali za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.