NIFANYAJE

Kitambulisho cha Mwanahabari

Tarehe ya Mwisho: 18th Apr 2016

Maombi ya Kitambulisho cha Mwanahabari. Maombi lazima yaambatanishwe na vitu vifuatavyo;- •Barua ya Uthibitisho toka Chombo cha Habari husika au Taasisi ya Kielimu •Nakala ya Vyeti vya Elimu vilivyothibitishwa pamoja na kitambulisho cha Mwanafunzi •Picha tatu za paspoti. ADA: Muombaji anapasw...   Soma zaidi

Kusajili Gazeti

Tarehe ya Mwisho: 17th Aug 2016

Maombi ya Leseni ya usajili wa Gazeti/Jarida. Maombi yanapaswa kuambatana na vielelezo vifuatavyo;- Cheti cha Usajili wa nyaraka yoyote ya kisheria. Barua kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu. Andiko la Mradi. Wasifu Binafsi wa Mhariri, waandishi na nakala ya vyeti vya taaluma ya...   Soma zaidi

Kuomba Ukumbi wa Mikutano

Tarehe ya Mwisho: 18th Aug 2016

Ukumbi wa mikutano na waandishi wa habari unapatikana kwa gharama zifuatazo;- Kwa muda wa saa moja ni shilingi 60,000/= Kwa siku nzima ni shilingi. 120,000/=   Soma zaidi