Tafuta...

Matukio Yajayo
Tarehe : 2016-02-18

Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano

...

Zaidi

Matangazo

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimkabidhi Mkuu wa Mafunzo na Operesheni JWTZ  Meja Jenerali Issa S. Nassoro ulingo wa Ngumi wa kisasa ambao wizara ilipewa na Serikali ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Posta wa TCRA Bw.Haruni Lemanya kuhusu mitambo ya mawasiliano ya kizamani iliyowekwa ka Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiangalia mchoro wa ramani ya  Kituo cha Utamaduni kinachojengwa katika chuo Kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo wilaya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassimu Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael (Lulu) katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Wa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Maendeleo ya Michezo aliyepo katika Uwanja wa Taifa, Nsajigwa Gordon,  kuhusu vit Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (wapili kutoka kulia) akifuatilia mchezo baina ya Twiga Stars na Zimbabwe.Mechi iliyochezwa katika uwanja wa Azam Comp Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Nape Nnauye akiwa anakazia jambo kwa wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya serikali ya TSN kuhusu kuboresha kazi zao na kuandika habari zinazofichua maov Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Mosses Nnauye akiongea na wanahabari kuhusu uteuzi  wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya TBC Balozi Herbert Mrango kulia ni Mkurugenzi msaidizi Usajili Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akakifurahia jambo baada ya kumaliza kikao na wadau na viongozi wa vyama vya michezo jana jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) akikabidhiwa zawadi kutoka TBL kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin (kushoto) kupitia Bia yake ya Kilima Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Uturuki Bi.Yasemin ERALP.Balozi uyo alimtembelea Waziri Nape kwa ajili ya kuzungumzia ushirik Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akikabidhi bendera ya taifa kwa naodha wa timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 15 Bw. Issa Ab Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (katikati) akiangalia moja ya kazi za Sanaa zinazofanya na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA)  alipotembelea ofisi hi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiangalia tofauti ya santuri ya  zamani na flashi ya kisasa  zinavyozidiana ukubwa alipotembelea TBC Uwanja wa Taifa wa Dar es salaam
Karibu

Karibu Tovuti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo upate kujionea majukumu na kazi zinazofanywa na wizara hii, pia uweze kufahamu umuhimu wa kila Idara katika Wizara na jinsi Idara hizo zinavyolenga kundi kubwa la watu katika jamii kwa ...

Zaidi
Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo kupitia Idara ya Maendeleo ya Michezo, inapenda kuwafahamisha wananchi kwamba imefanya mabadiliko ya Sera ya Michezo ya mwaka 1995 na sasa itatoa sera mpya ya mwaka 2016 ambayo wadau mbalimbali wameshirik ...

Zaidi

Habari Mpya

Habari Zote